Vijana wa Canton,Ohio naona mnakwenda vizuri sasa.Mmeacha majungu na umbea na fitina mmeamua kukua na kushikamana?Kama ndivyo basi mtakua watanzania wa kwanza USA kuwa na mshikamano mzuri uliobadilika na kujengeka vizuri...tunawafuatilia tujifunze toka kwenu
1 comment:

Post a Comment