Mjue Hasheem Thabeet: Kijana huyu ni Mtanzania mwenzetu ambae ameonyesha uhodari mkubwa sana katika nyanja ya mchezo wa kikapu hapa Marekani.Hatuna budi kuchukua fursa hii sisi wana Canton kumpongeza na kumtakia afya njema.Muda mchache tu uliopita ametangazwa kuwa mwaco-player of the year kwa Big East na also Defensive player of the year this is great achievements to this upcoming young player and also great for Tanzania.Globu hii ya jamii inampa pongezi nyingi sana.Friday, March 13, 2009
Kijana anavyoitangaza Tanzania katika nyanja ya kikapu
Mjue Hasheem Thabeet: Kijana huyu ni Mtanzania mwenzetu ambae ameonyesha uhodari mkubwa sana katika nyanja ya mchezo wa kikapu hapa Marekani.Hatuna budi kuchukua fursa hii sisi wana Canton kumpongeza na kumtakia afya njema.Muda mchache tu uliopita ametangazwa kuwa mwaco-player of the year kwa Big East na also Defensive player of the year this is great achievements to this upcoming young player and also great for Tanzania.Globu hii ya jamii inampa pongezi nyingi sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment