Tuesday, April 21, 2009

Graduation








Watanzania,
Tunapenda kuwatangazia Graduation ya Bw.Kilian Kamota siku ya tarehe 26.4.2009 kuanzia saba na nusu mchana hapo Walsh University na baadae tafrija fupi nyumbani kwa Kilian.Kwa niaba ya watanzania waishio Canton Ohio tunapenda kumpongeza ndg.yetu Kilian Kamota kwa hatua hii kubwa aliyofikia katika elimu "Second touch down" heko ndugu yetu.

Uongozi.

Kikao cha jumuiya tarehe 25.4.2009

Watanzania wa Canton,
Mnatangaziwa kutakuwa na kikao cha jumuiya 4.25.2009 saa kumi na moja jioni nyumbani kwa Abeid mnaombwa kufika bila kukosa.Ajenda zitawakilishwa kikaoni.Ukipata taarifa hii mhamishe na mwingine.