Wajumbe,
Kutakuwa na kikao cha jumuiya yetu T.A.C siku ya jumamosi tarehe 30th, May 2009 saa kumi moja jioni.Mahali nyumbani kwa Abeid Rashid anwani 1443 16th st nw canton OH 44703 apt 1.
Agenda
a.Mahudhurio ya vikao na shughuli za umoja ama shughuli za wanachama.
b.Michango ya mwezi au ya viingilio vya umoja kwa kila mwanachama
c.Usiku wa Mwafrika kulikoni?
d.Mawazo ya wana umoja au umoja kujishirikisha katika shughuli za kujitolea katika community au hospital zinazotuzunguka.
e.Kuongelea masuala ya wana umoja kutilia mkazo mambo ya uhamiaji na maendeleo yake.Kuondoa au kuweka sawa tofauti zozote ambazo zinazoinuka ndani na nje ya umoja.Mpango muadili wa vikao vya umoja kuzunguka nyumba hadi nyumba na si mahali pamoja vikao kufanyika.
Ukipata taarifa hii mfahamishe na mwingine.Ni muhimu kuhudhuria bila kukosa.
Katibu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment