Mwenyekiti Martin Yohana kushoto akipongezwa na Bw.Juma Msangi ambae ni TAC Communication Director kuliaSaturday, January 31, 2009
Wallahi tena summer tamu
Mwenyekiti Martin Yohana kushoto akipongezwa na Bw.Juma Msangi ambae ni TAC Communication Director kuliaTuesday, January 27, 2009
Matukio katika Uchaguzi Jan 25th,2009
Baby shower March 29th 2009
Ally Said na Wife Tamika wanapenda kuwaalika Watanzania wote kwenye Baby shower ya mtoto wao wa kike mtarajiwa March 29th,2009 saa tisa kamili mchana- mpaka saa mbili usiku.Ukumbi Winsor Hall uko 62E tafadhali mfahamishe Ally kwa ujio wako.
Taarifa zozote za mabadiliko tutawafahamisha.
Waandalizi.

Monday, January 26, 2009
Taarifa ya Uchaguzi T.A.C
Watanzania,
Ifuatayo ni taarifa ya kikao kilichofunguliwa saa kumi kamili na kilitanguliwa na kikao cha viongozi kilichoanza saa tisa mchana.
Makamu mwenyekiti alidokezea mambo machache kuhusu umoja
Michango ya umoja ya kila mwezi na ya kujiunga
Kusoma email na text messages
Nidhamu ndani ya mikutano kuanzia leo kutakuwa hamna vinywaji wakati wa vikao vinywaji vitanyweka baada ya kikao kumalizika.
Simu zetu tuweke kwenye vibrate ili kuondoa usumbufu wakati wa mikutano
Pia watu waonane na Joe kuweza kufile Tax
Ufafanuzi wa Party ya usiku wa Mwafrika
Pia chama hakitatoa mikopo kwa mwanachama kwa sasa mpaka hapo itakapotangazwa.
Katibu alisisitiza amani na upendo na tuondoe tabia ya chuki mbaya au maugomvi mabaya tuliyonayo baina yetu.Tujenge hulka ya kujaliana badala ya kutakiana mema.Mwenzako anapopata matatizo basi isiwe ndio nderemo na vifijo bali iwe ni jinsi gani utamsaidia?
Uchaguzi
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi alianza rasmi kwa kuwakumbushia wanachama kuchagua wagombea kwa nia ya kuchagua kiongozi anayefaa na si kwa jina au sura.
Uchaguzi ulianza wa nafasi ya mwenyekiti iliyoachwa wazi na ndg Kilian Kamota.Nafasi hiyo ilikuwa inagombewa na Bwana Martin Yohana na Giliard Msangi na Bwana Martin alishinda nafasi hiyo.
Mwenyekiti mpya wa umoja ni Martin Yohana.
Nafasi ya katibu wa Fedha
Wagombea walikuwa Calistus Rwejuna na Edna Ngowi na nafasi hiyo ilichukuliwa na Bwana Calistus Rwejuna
Nafasi ya Mawasiliano Mwenyekiti
Nafasi hiyo ili ilikuwa inagombewa na Juma Msangi na Giliard Msangi ambapo Bw.Giliard alijitoa katika kinyang'anyiro hicho kwa kuwa tayari anayo madaraka mengine ndani ya chama na Bw.Juma Msangi alipita kwa kura zote za ndio
Nafasi ya Mawasiliano Katibu
Nafasi hiyo ilikuwa inagombewa na Abeid Rashid na Seleman Vuai na Bw.Abeid alishinda nafasi hiyo.
Katibu alimpa Mwenyekiti mpya taarifa ya umoja tokea kilipoanzishwa mpaka kilipofikia na malengo yaliyopangwa awali yalifikiwaje na tunapoelekea kama wanaumoja tunaelekea wapi.
Mwenyekiti mpya Bw.Martin Yohana alipata nafasi ya kuongea na wanajumuiya kwa kuhakikisha kuwa Umoja utadumishwa kwa amani na kwa nguvu zake ataendeleza kazi zote ambazo umoja ulishazianza hapo awali.Na alisisitiza kuwafikia na wenzetu wa visiwani kwa kuwawezesha kuja katika umoja pia.
Aliahidi kuendeleza mshikamano ndani ya umoja na nje ya umoja na kuendeleza upendo baina yetu.
Pia aliteua washauri wake kumshauri mambo katika uongozi wake nae ni Dada Edna Ngowi na Bw.Joseph Mushi.Na wajumbe waliafiki msimamo wake baada ya kuelezea kwanini amewateua hao wandugu.
Pia alisisitiza matatizo binafsi ya wanachama yasiletwe ndani ya jumuiya kuepuka malumbano na mlolongo wa matatizo.Aliahidi kuonana na wahusika kufikia muafaka wa kila tatizo kuanzia muda aliokuwa akiongea.Pongezi kwa wote waliogombea na pongezi kwa wote walioshinda.Umoja na Amani viendelee kudumu kati yetu.
Katibu.

Tuesday, January 20, 2009
UMATI WA WATU WASHINGTON DC KUSHUHUDIA RAIS OBAMA AKIAPISHWA
Monday, January 19, 2009
Sunday, January 11, 2009
Tudumishe mazoezi kwa Afya zetu
Saturday, January 10, 2009
February session by Ngwilizi.
Kuna wajumbe walisuggest tufanye session moja mid February 2009 ambayo tutatoa njia mbalimbali za kuwasaidia wajumbe ambao watakuwa interested kujoin College au kumalizia requirement za high school,au kuchukua special courses ambazo ni za muda mfupi kama 2 weeks or six months in the area of their interest.kama mtakuwa interested tunaitaji a minimum of five wajumbe kufanya session.Nitajitahidi tupate as much information as possible.Please waambie baadhi ya wajumbe ambao hawasomagi e-mails.
Remember 2009, TAC Members : We Walk Together.
Tunakaribisha Suggestions.
Thanks,
Joe Ngwilizi.

Thursday, January 8, 2009
Wasaha toka Bw.Martin Yohana
WARAKA KWA WATANZANIA WAISHIO CANTON
NDUGU WATANZANIA WENZANGU WOTE ,NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWAPONGEZA KWA MSHIKAMANO TUMEO UONYESHA KATI YETU SISI KAMA JAMII MOJA YA WATANZANIA.NI KWA MUDA MFUPI SANA TUMEWEZA KUFAULU KWENYE MAMBO MENGI YA MSINGI YANAYO TUZUNGUKA, KITU AMBACHO KINAONYESHA BISHARA NZURI YA MUUNDO NA MUELEKEO MZIMA WA JUMUIYA HII NA WATU WAKE AMBAO NI SISI WENYEWE.
JAPO KUWA SISI WATANZANIA TUISHIO HAPA CANTON NI WACHACHE UKILINGANISHA NA STATES AU VITONGOJI VINGINE,NI DHAHIRI KUWA UCHACHE WETU NA UCHANGA WA JUMUIYA YETU UMEONYESHA KUWA NA NGUVU ZAIDI KULIKO JUMUIYA NYINGINE NYINGI NA ZENYE WATU WENGI HAPA MAREKANI.NGUVU HII INATOKANA NA UPENDO WA HALI YA JUU KATI YETU.HATUA MOJA BAADA YA NYINGINE ,TUNASONGA MBELE.,IWE NI SHEREHE,MSIBA,AU DHARURA YOYOTE ,SISI WANA CANTON NA UCHACHE WETU HUU,HUWA NI WAKWANZA KUITIKIA MIITO HIYO POPOTE PALE PANAPOTUZUNGUKA KWA UKARIBU.HIVYO NAOMBA TUJIVUNIE KWA UPENDO ,UNDUGU NA MSHIKAMANO TULIOJIJENGEA.
NAPENDA PIA KUTAMBUA MCHANGO WA MWANAJUMUIYA MWENZETU,MDAU HUYU AMEKUWA MSTARI WA MBELE KWENYE MAFANIKIO YA WENGI.BILA MASHARTI ,MWENZETU HUYU NI SHUPAVU,BUSARA YA HALI YA JUU NA HUTUMIKIA JAMBO LA MTU YOYOTE KWA MOYO MWEUPE NA HU HAKIKISHA AMETIMIZA WAJIBU WAKE KWA KAZI ANAYOKUWA AMEAGIZWA.HUYU SI MWINGINE ILA NI NDUGU YETU FRANK CHUNGU.
TUNABAHATI ILIOJE KUWA NA JASIRI AU SIMBA WA NYIKA,SHAULING WA BUSARA NA HEKIMA.MDAU HUYU AMEENDELEA KUTUFAA SISI SOTE KWA MASHAURI MBALIMBALI NA JINSI TUNAVYOTAKIWA KUISHI KWA KUFAHAMIANA, KUHESHIMIANA NA KUVUMILIANA KAMA BINAADAMU.MDAU HUYU NI HADHINA KWENYE JAMII YETU NA TUTAMLINDA KAMA MZEE WETU,HUYU SI MWINGINE BALI NI USTAADH SHEIK MOHAMED SULTAN.
MABADILIKO YA SERIKALI YA TANZANIA YANA DREAM YA KUCHUKUA SURA MPYA YA UONGOZI BAADA YA SISI WANA CANTON KUMPIKA IPASAVYO RAISI MTARAJIWA WA SERIKALI YETU YA TANZANIA MIAKA MICHACHE IJAYO, HUYU NI MDAU TUNAE TAKIWA TUJIVUNIE SANA KUWA NAE KARIBU KWA BUSARA ZAKE, UKUBWA WA MITAZAMO YAKE KWENYE DUNIA YA SASA,UFANISI WA KAZI ZAKE BINAFSI NA ZA JUMUIYA YETU.HUYU NI SILAHA YETU YA SIRI NA SI MWINGINE BALI NI MUHESHIMIWA JOSEPH M.NGWILIZI.
GILLIARD MSANGI NA JOSEPH(DIDAS)MUSHI,HAWA MIMI NI VIJANA WANGU,NA WATU WANGU WA KARIBU.HAWA VIJANA NI SAFI,NI DAMU CHANGAMOTO KWENYE UMOJA WETU.NI VIJANA WENYE PEO ZINAZOKWENDA NA WAKATI.MIMI NINAIMANI KUBWA KUWA TUTAPATA MAWAZO SAFI NA MUELEKEO MWEMA WA CHAMA KWANI MUSWAADA WOWOTE MZURI HUPITA BAADA YA KUWA UMEFANYIWA KAZI NA WAJUMBE WENGI WENYE MAWAZO TOFAUTI ,NA HILI TUTALIPATA TOKA KWA WADAU HAWA.
JAPO KUWA NAO NI WAKUHESABU, TUNAJIVUNIA PIA KUWA NA DADA ZETU WA KITANZANIA KWENYE UMOJA WETU.HAWA PAMOJA NA MAMBO MENGINE, WAMEKUA NI CHANGA MOTO KWENYE JAMII HII.MICHANGO NA UONGOZI WAO KWENYE JUMUIYA IMEKUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA JAPO KUWA SIKU ZOTE KUNA NAFASI YA KUFANYA ZAIDI KWA MANUFAA YA WOTE KAMA JUMUIYA.TUNAWAOMBA WAENDELEZE USHIRIKA WAO NA WANATAKIWA KUFAHAMU KUWA TUNAWAPENDA SANA KAMA DADA ZETU NA HESHIMA YAO KAMA WANAWAKE INABAKI PALEPALE.
NIKIGUSIA UCHAGUZI UJAO,NINGEPENDELEA SANA KUONA ANACHAGULIWA KIONGOZI MWENYE SIFA ZENYE MANUFAA KWA JAMII NZIMA.KATIBU WA JUMUIYA NGUDU CHUNGU AMELIONGELEA SUALA HILI TAYARI,ILA KWA NYONGEZA NAPENDA KUWAFAHAMISHA WANAJUMUIYA WOTE WA HAPA CANTON KUWA SISI WOTE NI VIONGOZI WAZURI NA YEYOTE ATAKAE CHAGULIWA TUTAMUHESHIMU KAMA KIONGOZI WETU NA TUTATOA USHIRIKA KWAKE ILI KUHAKIKISHA MADARAKA YAKE HAYO YANAWATUMIKIA WANAJUMUIYA WOTE KWA KUFUATA MISINGI YA KATIBA YA JUMUIYA HII.AWE NI KIONGOZI ATAKEYE SIKILIZA KILIO CHA WATU NA AWE MUWAZI KWA MASWALA YANAYOTAKIWA KUWEKWA WAZI.
NDUGU ZANGU TUKUMBUKE KUWA JUMUIYA IWE NI KAMA MTOTO AMBAE ANAKUZWA KWA MISINGI THABITI ILI TUWEZE KUPATA MATUNDA BORA TOKA KWA MTOTO WETU HUYU.TUKIMLEA VIBAYA BASI TUSITEGEMEE CHOCHOTE,.NINAMAANA GANI HAPA?..MAANA YANGU NI KWAMBA KILA MWANAJUMUIYA ANAJUKUMU LA KUIFANYIA JUMUIYA JAMBO JEMA,NI KWAMBA UJIULIZE UTAIFANYIA NINI JUMUIYA? NA SIO JUMUIYA IKUFANYIE NINI?...JAMBO KAMA MICHANGO YA JUMUIYA NI LAZIMA WEWE KAMA MWANAJUMUIYA UTOE ADA ZOTEZAJUMUIYABILAKUFUATWA., MAHUDHURIO YA VIKAO VYA JUMUIYA NI WAJIBU WA KILA MWANAJUMUIYA KUTIMIZA BILA KUSUKUMWA.KWA KUFANYA HIVI TUTAWAPUNGUZIA KAZI VIONGOZI WATEULE, KWANI VITU VINGINE KAMA HIVI, HAVITUHITAJI KUWA WANA SAYANSI KUVIGUNDUA,BALI NI AKILI YA KUZALIWA AMBAYO NAAMINI SISI SOTE TUNAYO AKILI HIYO NA ILIYO TIMIA, HIVYO HATUNA ZINGIZIO LOLOTE.
IWEKWE WAZI KUWA AMBAE HANA NIA YA KUJIUNGA AU KUENDELEA NA UANACHAMA WA JUMUIYA YETU ATAMBUE KUWA YUKO PEKE YAKE(‘’YOU ARE IN YOUR OWN’’....BY Pres. Obama)NI LAZIMA TUWAULIZE WATU HAWA AMBAO WAMEJITENGA ILI KUJUA MITAZAMO YAO KWA MWAKA HUU MPYA KUHUSU JUMUIYA NI VIPI?WATU HAWA WANAFAHAMIKA NA HILI PIA LIWE JUKUMU LA KIONGOZI MPYA KUWA NA KAULI KWA WATU HAWA.
VILEVILE MOJA YA JUKUMU LA UONGOZI MPYA IWE NI KUHAKIKISHA KUWA WATANZANIA WENZETU KUTOKA VISIWANI WANAJUMUIKA KWENYE UMOJA HUU. HII ITACHANGIA KUENDELEZA MSHIKAMANO NA UNDUNGU TULIONAO BAINA YETU.MAONI AU SABABU ZILIZOSIKIKA AWALI TOKA KWA WATANZANIA HAWA WA VISIWANI KUHUSU NI KWANINI HAWAJAJIUNGA MPAKA SASA ,YAFANYIWE KAZI. NA PANDE ZOTE MBILI ZIFIKIE MUAFAKA UTAKAO KIDHI MAHITAJI YA PANDE ZOTE.HILI NI JAMBO MUHIMU SANA NA TULIZINGATIE KWA AJILI YA KUIMARIKA KWA UMOJA WETU.
NAAMINI KIKAO KITAENDA SALAMA NA KITAKUWA CHA MAFANIKIO.PONGEZI KUBWA KWA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI BWANA ZITTO a.k.a BENA KITU,KWA KUTUPA MUDA WA KUJIPANGA NA HATIMAYE KUFIKIA SIKU YA KUMCHAGUA KIONGOZI MWINGINE. SHUKURANI ZIWAENDEE WAJUMBE WOTE AMBAO SIKUWATAJA KWENYE WARAKA HUU,HII HAINA UBAGUZI WA AINA YOYOTE,TOKA MOYONI MWANGU NI KUWA NINAWAPENDA WOTE ,NA WOTE SISI NI WANA WA MUNGU NA MICHANGO YENU KWENYE DUNIA HII TUNAIHITAJI SANA KUSHINDA KITU CHOCHOTE.ASANTENI SANA.
MARTIN.

Friday, January 2, 2009
Uchaguzi January 25,2009
UCHAGUZI WA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI JANUARY 25 ,2009 jioni saa kumi.
Heri ya mwaka mpya!!
1.Watanzania wa Canton.Jumapili ya tarehe 25 January tutakuwa na mkutano wa kumchagua Mwenyekiti mpya wa Umoja wetu wa Watanzania Canton.Mahali nyumbani kwa Bw.Abeid Rashid.
Ujumbe huu mnaombwa kumfikishia kila mwanachama wa umoja huu na mwanachama yeyote anaombwa asikose kuhudhuria kikao hicho mtumie email tena au mtextie au mpe ujumbe kwa mdomo kila mwanachama ili tupate mtu ambaye kila mtu anaridhika nae na wote tunampenda na awe mtu wa watu na asiwe mtu wa majungu na asiwe muanzisha matatizo kati ya jamii awe mtu imara asiye na papara za maamuzi yake hizi ni mojawapo tu ya sifa za Mwenyekiti wetu mpya najua kila mtu anasifa anazohitaji mwenyekiti awe nazo.Kitakuwa ni kikao cha uchaguzi tu wa viongozi waliotajwa na kamati ya uchaguzi.Uchaguzi utakuwa saa kumi jioni nyumbani kwa Abeid.
2.Kikao hiki kitaendeshwa na Mwenyekiti wa muda na kitasimamiwa na Kamati ya uchaguzi na wao watatupa kamati zinazohitaji kupata viongozi wapya.Tunaomba majina yawezwe kupitiwa mapema kabla ya kikao.
3.Kutakuwa na updates za kikao rasmi kijacho cha kwanza cha jumuiya kuendeleza libeneke la umoja wetu.
4.Umoja ni nguvu TAC idumu!!

Thursday, January 1, 2009
Subscribe to:
Comments (Atom)